Matabaka ya Warithi Wa Mitume - Juzuu ya Kwanza
Al Mustakshif Abu Manal Danah
Tabaqat Warathat Al Anbiyah Juzuu Al Awwal by Al Mustakshif Abu Manal Danah
Historia ya Wanazuoni ambao ni warithi wa Mitume walioishi katika miaka 200 ya kwanza ya Uislam baada ya Masahaba.
Hiki ni moja kati ya vitabu vitabu ambavyo ni vyenye kuzungumzia kuhusiana na historia za miongoni mwa Wanazuoni waliotangulia kabla yetu, kulingana na Darja zao na jitihada zao na matunda ya jitihada zao hizo ambazo zinaendelea kuunufaisha Ummah wa Kiislam kwa Ujumla, na hivyo namuomba Allah Subhanah wa Ta’ala awalipe Wanazuoni kwa jitihada zao kwa malipo ya kuwaingiza kwenye rehma zake na kuwajaalia Pepo zenye darja ya juu Miongoni mwa Pepo zake.
體積:
01
年:
2022
版本:
01
出版商:
Al Mustakshif Abu Manal Danah
語言:
swahili
頁數:
751
系列:
2022.01
文件:
PDF, 5.07 MB
IPFS:
,
swahili, 2022